Eeh nini sasa
Eti amina dua zimeitikiwa
Ashtuti nije kupa mali yako
Ooh fanya hima mwenzako nimezidiwa
Mahututi nasubiri tiba yako
Na nisipo kuona na raha nakosa
Situlii mpaka unikumbate darling
Ooh kiranga chote mi koma ukianza dear
Shughuri kwisha yangu habari
Eti unanipenda mi mnmhn
Unanitaka pia mnmhn
Unaniamini mnmhn
Na umeniridhia
Ooh unanipenda mimi mnmhn
Unanitaka pia mnmhn
Unaniamini mnmhn
Na umeniridhia
Mnaosubiri tuachane
Mtasubiri sana mtasubi
Ooh mtangoja
Mtasubiri sana mtasubi
Wanaosubiri tuachane
Mtasubiri sana mtasubi
Vuteni kiti mkae
Mtasubiri sana mtasubi
Ooh baby mi mwenzako njiwa wa kufugwa
Ooh baby vya chakuchaku vitanifuja
Ooh baby mie wa pwani mzawa wa unguja
Ooh baby penzi laini sitoi buja
Na moyo nimeshaweka kwako nanga
Wanajisumbua kukesha kwa waganga
Mbona bado na presha zitawashuka na kupanda
Tena deka we shaukwa baby tamba
Eti unanipenda mi mnmhn
Unanitaka pia mnmhn
Unaniamini mnmhn
Nakuniridhia mnmhn
Ooh unanipenda mimi mnmhn
Unanitaka pia mnmhn
Unaniamini mnmhn
Na umeniridhia
Manaosubiri tuachane
Mtasubiri sana mtasubi
Ooh mtakesha
Mtasubiri sana mtasubi
Mtandike jamvi mukae
Mtasubiri sana mtasubi
Mtatungoja sana
Mtasubiri sana mtasubi
Wanasema eti umeniroga
Nikweli ila inawahusu nini
Hunipendi unanichuna
Nikweli ila inawahusu nini
Eti anasema wewe ni kicheche
Nikweli ila inawahusu nini
Utanichezea kesho uniache
Nikweli ila inawahusu nini