Sura yake mtaratibu
Mwenye macho ya aibu
Kumsahau najaribu
Ila namkumbuka sana
Umbo lake makhbibu
Kwenye maradhi alionitibu
Siri yangu kaharibu
Bado namkumbuka sana
Alionifanya silali (eh)
jua kali (eh)
Nitafute tukale
Lakini hata hakunjali,
darling
Akatekwa na wale
Alionifanya silali (eh)
jua kali (eh)
Nitafute tukale
Ila wala hakunjali
Darling, aka-aah
Ntampata wapi,
kama yule?
Niliyempendaga sana
Ntampata wapi,
kama yule?
Nae anipende sana
Ntampata wapi,
kama yule?
Niliyempendaga sana
Ntampata wapi,
kama yule?
Nae anipende sana
Aii-aii, nyota
Nyota ndo tatizo langu
Aii, nyota
Mpaka nalia pekee yangu
Aii, nyota
Nyota ndio shida yangu
Nyota
Wamenizidi wenzangu
Alidanganywa na wale (wale)
Wenye pesa nyumba gari (gari)
Mi kapuku hakunijali (jali)
Akanikimbia
Alidanganywa na wale (wale)
Wenye pesa nyumba gari (gari)
Mi ungaunga hakunijali (jali)
Akanikimbia
Alionifanya silali (eh)
jua kali (eh)
Nitafute tukale
Lakini hata hakujali, darling
Akatekwa na wale (halo)
Alionifanya silali (eh)
jua kali (eh)
Nitafute tukale
Ila wala hakunjali
Darling, akaa-aah
Ntampata wapi? (Oh wapi?)
Kama yule
Niliyempendaga sana
Ntampata wapi
kama yule (oh sana)
Nae anipende sana
Ntampata wapi,
kama yule? (penda sana)
Niliyempendaga sana (nampenda sana)
Ntampata wapi
kama yule (oh sana)
Nae anipende sana
Bado ananijia ndotoni (bado)
Ila nikiamka simwoni (bado)
Bado ananijia nikilala (bado)
Haki ya Mungu sio masiala
Bado ananijia ndotoni (bado)
Ila nikiamka simwoni (bado)
Bado anijia nikilala (bado)
Haki ya Mungu sio masiala
Yo touch clever (bado)
Hii ni sauti ya raisi (bado)
Iliomshindaga ibilisi (bado)
Kwa mwanadamu sio rahisi, aha
Kamwambie
Lazma ujue kutofautisha
Kati ya msalaba na jumuilisha
Kuna X na kuzidisha
Ni cheche (cheche)
Bado ananijia nkilala
Haki ya Mungu sio masiala