menu-iconlogo
logo

Lala Salama

logo
Letras
Lala salama.

Matatizo chuki lawama.

Matatizo chuki lawama.

Ukilala lala salama

Kumbatia picha yangu

Kama ukinikumbuka sana

Nipigie simu yangu

Uki.ukilala lala salama

Kumbatia picha yangu

Matatizo chuki lawama

Vumilia mpenzi wangu

Najua wivu ndo mapenzi

Ila chunga usizidi

Si unajua kwako sijiwezi

Ila dhiki imebidi

Mi nili.tamani si mi kuwa nawe

Tuwe wote usiku na mchana

Kilichofanya mi nipagawe

Sina chochote cha kuwalisha wana

Niliupokea kwa unyonge, msiba wa kaka bona

Ile barua yako ya mwisho ilinitonesha vidonda

Usijali, Nilai kipenzi changu, ukazani nimekumbwa na pepo la starehe

Mambo bado magumu kwangu, afadhali hata ya jana ya kesho niombee

Ukilala lala salama

Kumbatia picha yangu

Kama ukinikumbuka sana

Nipigie simu yangu

Uki.ukilala lala salama

Kumbatia picha yangu

Matatizo chuki lawama

Vumilia mpenzi wangu

Ile kua uone

Nilidhani maghorofa

Ai, akumbe mwana ukome

Hakuna cha kuokota

Mi bado, nakaza moyo changu kipenzi

Ila naumia kwa kuwa mwenyewe

Natamani ila siwezi, nazitafuta ili nije kula na wewe

Msalimu mama nyumbani, usiseme kama nahenya

Tai, mfiche mpe imani, karibu ntakuwa chema

Usijali, Nilai kipenzi changu, ukazani nimekumbwa na pepo la starehe

Mambo bado magumu kwangu, afadhali hata ya jana ya kesho niombee

Ukilala lala salama

Kumbatia picha yangu

Kama ukinikumbuka sana

Nipigie simu yangu

Uki.ukilala lala salama

Kumbatia picha yangu

Matatizo chuki lawama

Vumilia mpenzi wangu