menu-iconlogo
logo

Utanipenda

logo
Letras
Tanta lala laaa

La la la la laaaa

Mmmmmh

Ooh Ghafla visenti sina nimerudi Tandalee

Nimeshindwa kulipa BIMA nimeuza madalee

Radio nyimbo wamezima Tv ndio hataree

Umeneja umebaki jina

Hanitaki hata Talee

Oooh wale shabiki zangu

Walonisifu kwa maneno matamuu

Leo maadui zangu

Ni mitusi tu kwa instagramuu

Kimwanaa si dada anguu

Eti nae hanifahamu

Hata harmonize nikimpigia ananifokea kama Salaam

Na magazeti ya nyumbani kwa kukuza habari si unajuagaa.

Utasikia Tafalani eti Mondi kwa Zari amemwagwa

Navyo nilivyo mnyonge tabia ya kuwajibu sinagaa

Kama naiona michambo ya madem wa zamani nilowapitiaga

Ooh nayosema yana maanaa

Sababu hakuna anaejua kesho

Anaepanga ni Rabanaa

Ila ameificha ni confidential

Ukisali omba sanaa

Mumeo nisije kuwa kichekesho

Maana rafiki wa jana

Aaah

Ndioo adui mkubwa wa keshoo

La la la la la laaaaa

Au je utanipenda gaa?

La la la la laaa

Au nawe utanimwagaa?

La la la la laaaa

Ati utanipenda gaa ooh

Ooooh

Ooooooooh.

Bado naiwaza sana

Zile tunzo mashauzi airport

Je itapofika tamaa

Utadiriki hata japo kunipost

Pindi show zimekwamaa

Na nikipata sijahis ni mikosi

Oooh jahazi limezama

Mola ninusulu baba

Kama namuona mwanangu

Roho yangu

Tiffa Dangote

Anakwenda na mama angu

Kwa Jakaya Kikwete wanafukuzwa watoke

Usilie sandra wangu

Mboni yangu

Jikaze usichoke

Huenda kesho zamu yangu

Nitavuma tena mambo yanyooke

Eeeey

Na magazeti ya nyumbani

Kwa kukuza habari si unajuagaa

Utasikia tafalani eti mondi kwa zari amemwaga

Yoyoyooo

Navyo nilivyo mnyonge

Tabia ya kuwajibu sinagaa

Kama naiona michambo ya madem wangu wa zamani yaan

He he heeeeee

La la la la laaaaaa (eeeh)

(Ola lala la laaaalaa)

La la la la laaa

(Ooh ola la la laaaa)

La la la la la alaaaa

Eeeh

Ola la la lilaa ooh

La la la la la alaa

I say.

Kama namuona mwanangu

Roho yangu

Tiffa dangote

Ana kwenda na mama angu

Kwa mkubwa Fella anafukuzwa watoke

Usilie sandra wangu

Mboni yangu

Jikaze usichoke

Huenda kesho zamu yangu

Nitavuma tena

Mambo yanyooke(he he heee)

Eiiii

Ola lala lilaa

Oooh bby

(Tudy Thomaas)

Oooooh

Nayosema yana maana

Sababu hakuna anaejua kesho

Anaepanga ni Rabana

Ila ameificha ni confidential

Ukisali omba sana

Mumeo nisije kuwa kichekesho

Maana rafiki wa jana

Ndio adui mkubwa wa kesho

WASAFI