menu-iconlogo
logo

Waah! (feat. Koffi Olomide)

logo
Letras
Anachukua anaweka Waah (Le général Dangote)

Anachukua anaweka Waah (Le grand Mopao)

Anachukua anaweka Waah(Osiamboka)

Anachukua anaweka Waah

Kaghamu kupendwa na

Kaghamu nasikia

Tamu kupendwa nawe

Tamu kupendwa nawe, tamu

Tamu kupendwa nawe

Oh maneno maneno, tumeyazoea

Vijineno neno, tushazoea

Wapenzi wangu ku-party

Kwani ninawahusu

Shepu yake mbaya, hivi inawahusu

Udangaji umalaya, wao inawahusu nini

Wamegusa pabaya na mwaka huu

Lazima wachuchumae

Wameingia cha kike (Eh waah)

Cha kike

Wameingia cha kike

Cha cha kike (Twale)

Wameingia cha kike (kwa penzi letu)

Cha kike (lazima watuchomai)

Wameingia cha kike (kwa penzi letu)

Cha cha kike

Aah Bakokote Babu Tale

Don Mendez, Ba Junior

Chumbani Hennessy

Hunipatia panadol

Kuchenga za Mеssi

Na mashuti ya Ronaldo

Yaani ndani nikiingia tu

Anachukua anaweka Waah

Ah kwenye gari

Anachukua anawеka Waah

Iwe jikoni ama varandani

Anachukua anaweka Waah

Doze doze, doze doze

Anachukua anaweka Waah

Yaani baadae salama joto

Toa leso nipepepee

Oya kombo joto

Toa leso nipepepee

Oya mzee kunami, jipepee

Oh Ricardo Momo, jipepe

Oya mama Ndangote, jipepe

Eeh Doni Fumbwe, jipepe

Juu juu, jipee

Juu juu juu, jipee

Juu juu, jipee

Juu juu juu, jipee

Na se

Na se

Na se

Na se

Fukama, fukama mwara

Fukama, fukama mwara

Fukama, fukama Diamond

Fukama, fukama Quadra

Fukama

Papa Mobimba, ya

Papa Mobimba, ye

Papa Mobimba, ya

Papa Mobimba, ye

Anyataka trop akokakate alobaka te Tsuba ye Yes

Tshuma tshuma tshuma tshuma tshuma

Akokaka te alingaka trop alobaka te Sukuma aa Yes

Tshuma tshuma tshuma tshuma

Papa Ngwasuma

Papa Ngwasuma (Jose Kusaga)

Papa Ngwasuma

Anzeli Ngwasuma

Dar es Salaam Ngwasuma

Diamond Ngwasuma (Uncle Shamte)

Kinshasa Ngwasuma

Asutara Ngwasuma

Eeeh aaah

Eeeh Weeeh

Usiniguse, usinitouch

Tusalimiane kwa miguu

Usiniguse, usinitouch

Tusalimiane kwa miguu

Ooh nasema usiniguse, usinitouch

Salamu iwe kwa miguu

Usiniguse, usinitouch

Tusalimiane kwa miguu

Ooh kwanza kaa mbali

Corona coro (ko simba te), corona coro

Mwenzako naogopa

Corona coro Akusana Mosika, corona coro

Kwa tena vaa maski

Corona coro De megre, corona coro

Mikono yako kuosha

Corona coro De Pirlo, Saint James

Corona coro Didi Stone

Didi Sontos

Ayolizer

Today is Today

The Boss The Boss The Boss

Aluzapao de lutin

Aluzapao de fortin

Mopao mokonzie eeh eeh