Vanny Boy
Eee Vanny boy
They are not ready for this…
Eee nyege nyege
Kwetu mwanza nyegezi
Mmh nyege nyege
Nishushe mwanza nyegezi
Eee nyege nyege
Kwetu mwanza nyegezi
Mmh nyege nyege
Nishushe mwanza nyegezi
oya wind your waist njoo nipatie commando nikupe cha mkwesi
kwa miuno
ya taekwondo ase chekele mwendo wa kandanda ndani ya makwanda sa
nisongeze leta msambwanda nikazie ngangaangaa
chiiii kananivuta ghetto nkapinge bunduki
high bunduki lle naogopa central michezo ya amber rutty
amber rutty
Eeh nyege kwetu mwanza nyege Hmmmm nyege nyege
nishushe mwanza
nyegezi Eeh nyege nyege kwetu mwanza
nyegezi Hmmmm nyege nyege nishushe mwanza nyegezi
Yaani kama mjaluo, Shepu ya Mombasa
Hapendagi mpasuo, Hata akishinda basata
Tepe tepe mtoto kama supu teke teke (kongoro)
Kwa mateke mwite Fally Ipupa wa temeke (Ndombolo)
Shaku shaku ya masai (Oooh masai)
Kama nachuma papai (Oooh papai)
Funika funua (twendee)
Bandika bandua (twendee)
Anika anua (twendee)
Kanipa chukua (twendee)
Eee nyege nyege
Kwetu mwanza nyegezi
Mmh nyege nyege
Nishushe mwanza nyegezi
Eee nyege nyege
Kwetu mwanza nyegezi
Mmh nyege nyege
Nishushe mwanza nyegezi
Oya fiti kalikiti ti katoto hakashikiki
kwenye bilingiti ti Huvunjaga na kiti
Oooh sa iweke Aaa iweke iweke
Aaa iweke Ipitishe kwa chini
Aaa iweke iweke
Aaa iweke miendo ya kazi kazini aa iweke iweke
Aaa iweke hii ile ndindindii aa iweke iweke
Aaa iweke ngoja shake it ivoo aa iweke iweke
Aaa iweke twende shaku kidogo aa iweke iweke
Aaa iweke chuma magimbimbi aa iweke iweke aa iweke