menu-iconlogo
logo

Number One (feat. Zuchu)

logo
Letra
(Ayolizer)

(Zest is on this beat ladies and gentlemen)

Macho yalikuona, moyo ukakuchagua

Mdomo ukasema nakupenda aah

Mwambie umepona alokutesa moyo kusumbua

Maumivu yamekwenda

Mi ni zawadi nilopewa

Hajui nipepese wapi mi kipofu kwako sioni

Penzi limetaratadi, napepewa

Harufu ya marashi rashi nikitouch touch shingoni

Uvae baibui kanga

Viatu vya kuchuchumia kangaroo

Kisima tui tanga

We huba nifukizia pambe tu

Ukizungushia shanga

Inashuka inapanda chini juu

Nishatafuna karanga

Sasa chumba ndo kiwanda watoto tu (Iyee iyee)

My number one, you’re my number one

My number one, you’re my only one

My number one, you’re my number one

My number one, you’re my only one

Lalala, la la la

La- la-la mmh

Hausukumi damu moyo

Unasukuma upendo wangu

Niko mahabani mombasa, sa

Penzi nalimung’unya kibogoyo

Nimepata size yangu

Yaani nalioga sio kunawa, nawaa

Firimbi nitapuliza

Kuita ndege waje

Raha zimefululiza

Kwako natokaje

Hadi bububu umepitiliza

Tuko kwa bibi paje

Taratibu unaniliza baba

Tulivuruge varanga

Chimeneza kunengea kwangaru

Nikiandae kitanda shuka za maua ua ya marooon

Kisha tugonge na venta

Mambo ya kujizingua na varu

Nifunge upande kanga

Hapo juma we kwarua kwa kwaru

Ooh baby you are my

My number one, you’re my number one (My one and only)

My number one, you’re my only one

(Baby my, baby my)My number one, you’re my number one

My number one, you’re my only one

Penzi limetaratadi, napepewa

Harufu ya marashi rashi nikitouch touch shingoni

Number One (feat. Zuchu) de Rayvanny – Letras & Covers