menu-iconlogo
logo

Zawadi (feat. Dadiposlim)

logo
歌詞
Mon chéri, je t'aime beaucoup

Penzi lako guu lime-menasa

Mon chéri, kama uchawi uko

Mganga wako fundi hasa hasa

He, mwavuli wangu moyo umeufunika (wewe ndio)

Kiboko yangu unaijua pa kunishika

Kama mapenzi belebele

Lako laniwasha inemurwe

Nshakupa moyo na mwili

Uwe wako uchukuwe

Pokea (pokea)

Zawadi (zawadi)

Ya upendo wangu (ya upendo wangu, my love)

Pokea (pokea)

Zawadi (zawadi)

Ya upendo wangu (ya upendo wangu, my love)

Ooh, ma chérie (chérie)

Miunji ya baridi wanikomea

Geuka makini (makini)

Macho yangu ye huona hufumbaria

Zidishe sana mbawe huu nilisihi

Niki kazana (kazana)

Kama mapenzi pilipili (pili)

Lako laniwasha in a good way (good way)

Shakupa moyo na mwili

Uwe wako nchukue

Pokea (pokea)

Zawadi (zawadi)

Ya upendo wangu (ya upendo wangu, my love)

Pokea (pokea)

Zawadi (zawadi)

Ya upendo wangu (ya upendo wangu, my love)

Njo tucheke compa (compa)

Mmh, aah (oh, baby)

We Laiser wewe

Ye, ye, ye, iyaa

Eeh bwarere (bwakacha)

Ha, bwakacha (bwarere)

Mmh, aah

Baby pokea (pokea)

Zawadi (zawadi)

Ya upendo wangu (ya upendo wangu, my love)

Baby pokea (pokea)

Zawadi (zawadi)

Ya upendo wangu (ya upendo wangu, my love)

Oh, my love

Zawadi (feat. Dadiposlim) Zuchu/Dadiposlim - 歌詞和翻唱