Yooh, taniua
Ule mluyha wa bub yoh yoh
It's Byron baby
Zerro sufuri
Si ndio wale hupiga tamasha kwa matanga
Whiskey inamixiwa na chang'aa
Ukishika dem bado unamokia kwa gwarana
Na ikijipa backstage utapata tukikazana
Disco (eeeh) matanga (joh) disco
Ati mnasemaga, disco matanga
Lifestyle ya kistar boy hebu tazama
Disco (eeeh) matanga (joh) disco
Ati mnasemanga, disco matanga
Lifestyle ya kistar boy hebu tazama
Entry ni madem na mamorio wanachoma
Sssh ustake jua vile wanachoma
Gazeti yangu ndo naona mkisoma
Na iskue hapo mnapanga kunipona
Tia lawama mi sinanga chuki
Usijifanye mtamu na hauitangwi nyuki
Bash ni official na tumepiga bila suti
Hapa tabia mbaya wote wanatoa chupi
John, John yes Papa
Eating sugar no Papa
Telling lies no Papa
Open your mouth say ah ah ah
Tumetoka kwa ghetto
Tanakatia mangeus wa ma ghetto
Tanapatiana shoulder to lean on
Wakitupatia mavodo ma gino
Wengine wako sad wengine wanapretend
Wamefanya matanga ikae ka weekend
Wamedunga ni ka wanaenda club
Kwa disco matanga unaeza ona maajabu
Politician anakuja kudanganya kwa matanga
Na pesa Za wananchi akizuba
Na marasa za wamama
What a shame, what a shame
Jaribuni kuheshimu disco matanga
Disco (eeeh) matanga (joh) disco
Ati mnasemanga disco matanga
Lifestyle ya kistar boy hebu tazama
Disco (eeeh) matanga (joh)disco
Ati mnasemanga, disco matanga
Lifestyle ya kistar boy hebu tazama
Zzero
Naishi life vimajor na favor
Na give thanks to jah its my pleasure
Tukiwachana mwingine nitapenda
Status ma update tukidarana
World boss man a ghalis
Nikitokeanga kwa scene look bado huanga safi
Shati white alafu luku badder safi
Mabling kwa shingo utadhani nimetoka wasafi
Car key,ma sssh sh easy skunking
Top shatta ghetto mi hua top ranking
All dem ghaldem say me dem wanting
Na skuangi sufria, always got something
Utaniua na sufuri hii beat moja tunairarua
Kiwash and wear tunaikamua
Harufu ni mbaya tushanyamba
4W 00 si ndo namba
Huanga na insist mi sideal na ngati
Na mix ingi whiskey na ratish
Mi ni biggy mi sidance ingi kwa party
Juu shingo imefreeze saa hizo chini ni mambati
Baby ati siku izi umezoea mashash tu
Mi unanikumbukanga primo nikichomea staffroom
Umeweza utapewa venye unadai boo
Mi nairowesa mpaka inapitisha curfew
Hawa watoto wananijua
Nilitokanga eastlando makoto zikapungua
Na hio jaba bila ugoro itaniua
Mi ni badman na karoro ni kambua
Disco (eeeh) matanga (joh) disco
Ati mnasemanga, disco matanga
Lifestyle ya kistar boy hebu tazama
Disco (eeeh) matanga (joh) disco
Ati mnasemanga, disco matanga
Lifestyle ya kistar boy hebu tazama
Ati mamzinga mamzinga ni maflash natapika
Staki joh party cup, cheki nachachisha
Oya juu sioni wapishi
Ni saa mbili siski harufuu ya dishi
Na unacheka na nani gathe
Kaa makali job hakuna we kuja na keg
Hauna magwado aaah
Kadekini kiasi tunaibatiza zakayo
Mi hupenda madem wanakaa ka Betty kyalo
Betty nakupenda naeza swear bila bible
Bedroom na macandle, cheki nimekafunga
Nafungua IG na bundles
Disco (eeeh) matanga, (joh)disco
Ati mnasemanga, disco matanga
Lifestyle ya kistar boy hebu tazama
Disco (week) matanga (joh) disco
Ati mnasemanga disco matanga
Lifestyle ya kistar boy hebu tazama