logo

JIBAMBEZ

logo
الكلمات
Many people can Come Na bado wengi wata go

Adi wale upenda tam tam wenye madoh (pesa)

Ni Sabuni ya roho mwambie nafwata Goals)

Ule wa roho mwambie napenda raw

Hapa na pale hapa na pale hapa na pale

Tukijibambez

Hapa na pale hapa na pale hapa na pale

Tukijibambez

Hapa na pale hapa na pale hapa na pale

Tukijibambez

Hapa na pale hapa na pale hapa na pale

Tukijibambez

Stop planing,Throw money

Spend money make money

Ni ciubani

Ukiboeka Kuja areatulie ndani

Signal imeishika kama Ariel Tuko mbali (Hallo)

Aki mary Mary mary go round

Uski bado niko nyuma still na skunk

Adi akili imehang nilikuwa still kwa plan

Tell me watgwaan Niko juu ya miraa (hallo)

Non stop Inaenda sana bangkok

Kaa umechoka kuniona unaeza change angle

Uncle utanipemda by force

We unaona Niki grind walai unathani ni jokes

Many people can Come Na bado wengi wata go

Adi wale upenda tam tam wenye madoh(pesa)

Ni Sabuni ya roho mwambie nafwata Goals)

Ule wa roho mwambie napenda raw

Hapa na pale hapa na pale hapa na pale

Tukijibambez

Hapa na pale hapa na pale hapa na pale

Tukijibambez

Hapa na pale hapa na pale hapa na pale

Tukijibambez

Hapa na pale hapa na pale hapa na pale

Tukijibambez

Mi nataka Hawa na wale

Na pia kale

Na ulete beer sponyo hakatagii makali

Sidechick ni vale

Ni WA kitale

Tulijengana saii anaishi geti kali

Future nyi Bado muko last year

Na Ndovu ni Kuu na Ivo Bado ndo mi naskia ti

Pesa ni mingi ka ujinga ya salasya

Buroti maguta andũ a nyũmba kuhana atĩa

Mi Mi Mi uwabadilisha kama dicla

Lazma nfiche white si machupa ni za kibla

Kuchimba sijawai labda Dem Yako a reply

Hehehe iyo imekupita kama housefly,Aki Walae

Many people can Come Na bado wengi wata go

Adi wale upenda tam tam wenye madoh (pesa)

Ni Sabuni ya roho mwambie nafwata Goals)

Ule wa roho mwambie napenda raw

Hapa na pale hapa na pale hapa na pale

Tukijibambez

Hapa na pale hapa na pale hapa na pale

Tukijibambez

Hapa na pale hapa na pale hapa na pale

Tukijibambez

Nilimshow minaumwa na kichwa

Akaniambia (niko na dawa ya kichwa)

Akafunga pony tail,akacheza na lips

Nikaacha kuumwa na kichwa

Uyo manzi ako na skills,ako ndethe na hills

She is a freak for real,very nice

Nikama aninandai,ameacha ngotha kwangu

Kana mark teritory,(ah) ata earings

Nimepata ndani ya gari

Kana mark teritorry ah) very nice

Chali yake mina slice

Many people can Come Na bado wengi wata go

Adi wale upenda tam am wenye madoh(pesa)

Ni Sabuni ya roho mwambie nafwata Goals)

Ule wa roho mwambie napenda raw

Hapa na pale hapa na pale hapa na pale

Tukijibambez

Hapa na pale hapa na pale hapa na pale

Tukijibambez

Hapa na pale hapa na pale hapa na pale

Tukijibambez

Hapa na pale hapa na pale hapa na pale

Tukijibambez

JIBAMBEZ لـ Exray Taniua/NDOVU KUU/Mejja - الكلمات والمقاطع