logo

Makofi

logo
الكلمات
Aai babi (aai babi)

Alitisha fare nikasema sina na amejileta

Makofi kwangu

Makofi tena

Ameitisha pizza na niko na unga, na viazi (na viazi)

Makofi kwangu (makofi kwangu)

Makofi tena (makofi tena)

Makofi kwangu (makofi kwangu)

Makofi tena (makofi tena)

Makofi kwangu (makofi kwangu)

Makofi tena (makofi tena)

Alikuja kwangu ati ameachwa na mume wake

Makofi kwangu

Makofi tena

Walituma pesa ati wrong number na niko na fuliza

Makofi kwangu

Makofi tena

Wakwake bado ni wakwangu (ogopa)

Wakwake anaishi kwangu

Tulijuana uko kwangu alafu later akaishi kwangu

Situation inatufananisha alafu dryspell inatushikanisha

Alafu pombe inatuchanganisha

Kidogo kidogo inatukosanisha

Napiga luku moto mpaka unashtuka

Natoa moshi alafu napigia zima moto (mmmh)

Nafika uko naingia kiumang'oto

Alafu nikitoka mi' hutokanga na watoto (Mmh)

Alitisha fare nikasema sina na amejileta

Makofi kwangu

Makofi tena

Ameitisha pizza na niko na unga, na viazi (na viazi)

Makofi kwangu (makofi kwangu)

Makofi tena (makofi tena)

Makofi kwangu (yeah)

Makofi tena (makofi tena)

Makofi kwangu (yeah)

Makofi tena (yeah)

Mbona ume-double kwa tuma ya mchemi

Na nikaa' mko related na Femi

Heri nikope heri nibaki na deni

Lakini leo itavunjikia ndani

Wee ndo Cleophas wedding kwa port aah

Nikushikie SUV uruke ma port holes

Twende tufike SDA uchuje mapepo

Kairetu kena mwongezeo kababie dadio

Onei mathangu mayo

Magithaka na ruhuho

Alitisha fare nikasema sina na amejileta

Makofi kwangu

Makofi tena

Ameitisha pizza na niko na unga, na viazi (na viazi)

Makofi kwangu (makofi kwangu)

Makofi tena (makofi tena)

Makofi kwangu

Makofi tena

Makofi kwangu

Makofi tena

Aai babi (aai babi aai babi)

Makofi لـ Exray Taniua/Odi Wa Muranga - الكلمات والمقاطع