logo

Waganis

logo
الكلمات
Black market records

Mmh yoh yoh taniua

Mavo in the beat

Ka unapenda jaba we ni jabalist

Ka unapenda waba we ni wabalist

Wale wa maherb ni ma herbalist

Na wenye wazipendi nyi ni mawaganis

Utashtuka

Waganis (shtuka)

Waganis (shtuka)

Waganis (shtuka)

Na wenye wazipendi ni mawaganis (shtuka)

Utashtuka

Waganis (shtuka)

Waganis (shtuka)

Waganis (shtuka)

Na wenye wazipendi ni mawaganis

Numecheki msupa flani hapa nimemtamanist

Nika mshow niko na cannabis akanishow aki finally

Nikajua bet imeiva venye nimeanalyst

Nkaanza mashakazulu mimi, mtoto mtukutu

Waambie wasindhubutu mi hukua jaba na njugu daily

Kama kalulu niko kule na huku na ata hamwezi nishuku

Come kama come msupa ebu karibia bia

Ka zimeshika sana unaeza kanyagia

Gari ikikwama tunaongeza gear

Kama kegonyi siezi kanyamazia zia

Waiter please over here here

Juu ulete maziwa ama beer beer

Vile zimeshika hapa sina idea

Ati naanza kuita kila ngeus huku dia

Utashtuka

Waganis (shtuka)

Waganis (shtuka)

Waganis (shtuka)

Na wenye wazipendi ni mawaganis

Utashtuka

Waganis (shtuka)

Waganis (shtuka)

Waganis (shtuka)

Na wenye wazipendi ni mawaganis

Aah naanza tu na salam

Mi dangerous gyal mi about to cause harm

Prepare for me ting nikipost pale gram

Am in offer in cassava then I go take yam

Aah nipe nipeeni tu mitini dawa

Anataka pombe ya bure mtoke bana huyo ni chawa

Naona pale Adam mekuja na kakadam

Nashuka vile amedunga nabaki tu gaddamm

Ndula Nike naeza nipa hikies

Na ukicheza fity baby naeza kuwa wifey

Niachane na Mike na story za Viking

Kiseti kigode yeah we high ju we hiking

Masaa imewadia dia na niggah

Pale kwa box ywaingia ingia

Nipewe till pesa ngapi nalipia pia

Aah mi a gal we no fear fear

Utashtuka

Waganis (shtuka)

Waganis (shtuka)

Waganis (shtuka)

Na wenye wazipendi ni mawaganis

Utashtuka

Waganis (shtuka)

Waganis (shtuka)

Waganis (shtuka)

Na wenye wazipendi ni mawaganis

Waganis لـ Exray Taniua/Ssaru - الكلمات والمقاطع