menu-iconlogo
logo

Kama Wengine

logo
লিরিক্স
Oyaaa unajifanya aah aah aaah!

Aah! unajifanya mtu wa dini mchana

Usiku kidimbwi unagombania mabwana

Unajifanya haujatumika msichana

Sa nimechomeka sa mbona haijabana

Oya wee! We malaya tu kama malaya wengine

Oyaa wee! We utumbo tu kama utumbo mwengine aaah ah!

Aah! Snichi sio mwana, mwana sio snichi

Nikiwa nae shemu kumbe nkiondoka sweet

Viushauri penzi langu kunipatia

Kumbe kwa nyuma bebe yangu unaivizia

Wee snichi tuu kama masnichi wengine

Oya wee! We kuwadi tu kama kuwadi wengine inee!

Unajifanya upendi waganga unapenda masheikh

Kujifanya dogo janja kama ujabalehe

Kumbe wewe na mimi wote walewale

Tofauti mganga wako wa buza wangu wa tandale

Oya wewee we mchawi tu kama wachawi wengine

Ololooo oya wewe

We ni mwanga tu kama wanga wengine

Oyaaa

Unaheshimu ramadhani unazini shabani (Toooba)

Mchana stara usiku viwanjani

Sa mahubiri yako unamuhubiria nani

We na mimi woote kesho motoni

Oya! Wee shetani tu kama shetani wengine

Yani wewe oya wewe

We firauni tu ka firauni wengine

Asaa nikilewa bwiii! Msiniache mnibebe

Nikiwa tungi bwiii! Msiniache mnibebe

Eh! Nikivesha bwiii! Msiniache mnibebe

Nikipuuliza bwiii! Msiniache mnibebe

Haya nibebe nibebe nibebe nibebeee

Nibebe nibebe nibebe nibebeee

Oya kwenye ofa za bia msiniache mnibebe

Mkienda viwanja msiniache mnibebe

Wanangu wasafi fest msiniache mnibebe

Wee kwenye vibe msiniache mnibebe

Haya nibebe nibebe nibebe nibebee

Nibebe nibebe nibebe nibebee

Sawa niite chizi mwendawazimu

Wewe apo msukule (Kulee)

Kama ulikula changu kwa simu jua akiendi bure (Buree)

Niite chizi mwendawazimu wewe apo msukule (Kulee)

Kama ulikula changu kwa simu basi akiendi bure

Hasa muda wakulipa (Lipaa)

Muda wakuchojoa (Chojoa)

Muda wakulipa (Lipaa)

Muda wakuchojoa

Dada muda wakulipa (Lipaa)

Muda wa kuchojoa (Chojoa)

Muda wa kulipa baba (Lipaa)

Muda wa kuchojoa

Nilipotoka mwenye nyumba kanivurura

Kanipandishia kodi ghafla kwa dharura

Nilipotoka mwenye nyumba kanivurura

Paka nahisi joto kama kusaula

Saa na wewe saula sasa mwanangu saula sasa (Saula)

Saula sasa nione saula sasa (Saula)

Saula sasa wanangu saula sasa (Saula)

Saula sasa ivue saula sasa (Saula)

Oya wakilewa wao wana vibe tukilewa si tuna stress

Saa nawanywea gongo niwashe moto kudadeki

Wakilewa wao wana vibe tukilewa si tuna stress

Saa nawalia kitu niwashe moto kudadeki

Niwashe nsiwashe (Washa)

Wanangu niuwashe (Washa)

Niwashe nsiwashe (Washa)

Wahuni niwashe (Washa)

Nauliza niuwashe (Washa)

Ama nsiwashe (Washa)

Machizi boti niwashe (Washa)

Ama ni siiii waa...!