menu-iconlogo
logo

Mpeni Taarifa

logo
লিরিক্স
Waasaafi

Eeeeeh eh! Hhhhmm hhm!

Hhm! Mpeni taarifa nnaye share nae

Mwambieni bado nipo nipo saaana

Hadi kibanda nishajenga nae

Na tunaelekea kuzaa na wana

Asa nimuache ntaishije mjini

Nimuache nimuachie nani

Siendi popote

Asa ampende pekeake ye amekuwa mamaake (Siapo sasa!)

Ampende pekeake ye amekuwa babaake (Siapo sasa!)

Eti ampende pekeake ye amekuwa mamaake(Siapo sasa!)

Ampende pekeake ye amekuwa babaake

Aaah ooh! Siapo sasa!

Ooooh oh!

Aaah ooh! Ooooh! Hhhhmm eeh!

Hhhhmm ooh! Hhhhmm eeh!

Ukila masaki si twala Oysterbay

Coco mishikaki si vacation Dubei

Analipa vikoba analipa kodi

Kaniagizia kindinga ki range vogi

Tatizo lako shoga chumbani haunogi

Kutwa kifo cha mende haujui ata dogi

Kwako akileta mafuta abaya mitandio

Mie pia kwangu super miamala na salio

Tutabanana hapahapa tutabanana aaah!

Kama leo kwako kesho kwangu twapokezana oooh!

Tutabanana hapa hapa tutabanana aaah aah!

Kama subiani mie makata tutajuana

Asa nimuache ntaishije mjini

Nimuache nimuachie nani

Siendi popote

Asa ampende pekeake ye amekuwa mamaake (Siapo sasa!)

Ampende peke ake ye amekuwa babaake (Siapo sasa!)

Eti ampende pekeake ye amekuwa mamaake (Siapo sasa)

Ampende pekeake ye amekuwa babaake

Siapo sasa! Aaah ooh!

Tutabanana hapa hapa jino kwa jino aachwi mtu

Kama sijampata wa kwangu kumuacha asahau miaka buku

Haya sasa ukipanda mi nashuka ka daladala

Eeeh! Na ukijitia kususa wenzako twala

Eeeh! Ukipanda mi nashuka ka daladala

Ukijitia kususa wenzako twala

Na ukisusa susa susa wenzako twala

Si unasusa susa susa wenzako twala

Subutu kususa susa susa wenzako twala

Eeeh! Jitie kususa susa susa