menu-iconlogo
logo

Chori Chori

logo
লিরিক্স
Aaaah aaah! Ooooh oooh!

Aaaah! Alhabib

Aaaah aaah! Ooooh oooh! Oooh!

Limeniathiri

Penzi kwenye mtima

Amenichota akili

Hata moja sina

Nimeshindwa kufanya siri

Mwenzenu leo nasema

Nampenda kweli kweli

Ila simtaji jina niwaambie

Penzi chori chori kalipeleka India

Nikishindwa vikachori ananipa vibagia

Mambo ya utoto pori sio uzungu bandia

Tena tuna doridori penzi twawaringishia

Mtamaliza comment za matusi huko fb

Hii la liga nyie chandimu hamuwezi ligi hii

Wala msijipe presha mwisho wa siku mfe kwa bp

Mnao angaika kuturoga kwa sangoma muongeze bidii

Hii la liga nyie chandimu hamchezi ligi hii

Mlio angaika kwa sangoma kuturoga muongeze bidii

Vibaya, mtazeeka vibaya

Aaah! Mtazeeka vibaya

Mtazeeka vibaya kufata yasiowahusu

Ooooh oh! Aaaah aaah! Ooooh oh!

Ananiiita honey, namuita nyonda sabuni

Sio we baba fulani, majina ya kihunihuni

Unipa vya kingomani, michezo ya tamaduni

Na atuvifichi hadharani mtakoma nyie kunguni

Aku mie, siziwezi pata shika kubanana mishikaki

Kwake nimestirika siichezei bahati

Mapenzi sio shirika kushare share sitaki

Wangu njiwa na mfichaficha kuogopa yenu manati

Siwalaumu siwalaumu chukiwa na nyie

Mambo magumu maana chuma nnacho mie

Penzi chori chori kalipeleka India

Nikishindwa vikachori ananipa vibagia

Mambo ya utoto pori sio uzungu bandia

Tena tuna dori dori penzi twawaringishia

Vibaya, Mtazeeka vibaya

Aaah mtazeeka vibaya

Mtazeeka vibaya kufata yasiowahusu

Ooooh oh! Aaaah aaah! Ooooh oh!

Haya malizeni vikao kumnanga shauri zenu

Mi nishawapiga bao msompenda imekula kwenu

Malizeni vikao kumnanga shauri zenu

Mi nishawapiga bao msompenda imekula kwenu

Haya kama kweli awezi kuneng'emua (Bwana kamshika vipi)

Eti kama kweli awezi kuneng'emua (Bwana kamshika vipi)

Hee kama kweli awezi kuneng'emua (Bwana kamshika vipi)

Kama kweli hayawezi mavitu (Bwana kamshika vipi)