menu-iconlogo
logo

Mtamu

logo
লিরিক্স
Aah! Mwenzako mbona kufanya kama wao nawezaga

Ila tatizo naona aibu

Style zote paka za kuvunja chaga

Naziweza ila paka niwe na vaibu

Basi ngoja kwanza ninywe kidogo

Nikilewa ndo nakuwa mtamu

Oya ngoja ninywe kidogo

Nikilewa ndo nakuwa mtamu

Mwenzako hivihivi nakuwa sinogi

Nipe japo hata kidogo nichangamshe body

Mwenzako hivihivi nakuwa sinogi

Nipe japo hata kidogo nichangamshe body

Haaaya!

Ndo maana unaona kama mi nakuzingua

Tatizo sijapata dawa dawa

Ngoja nipate hata moja bia

Ntakupa vitu yaani paka utapagawa

Afu kama unabisha nipe kidogo nionje

Mi stimu yangu shisha, ganja na pombe

Mwili ukipata stata kwenye bedi usiombe

Haunipati kwa mkongo ata ukinywa vidonge

Basi ngoja kwanza ninywe kidogo

Nikilewa ndo nakuwa mtamu

Oya ngoja ninywe kidogo

Nikilewa ndo nakuwa mtamu

Mwenzako hivihivi nakuwa sinogi

Nipe japo hata kidogo nichangamshe body

Mwenzako hivihivi nakuwa sinogi

Nipe japo hata kidogo nichangamshe body, Weee wewe!

Haya dada tikisa kario kario kario kario kariakoo

Wasio kuwa na wenye ngongingo warushe roho

Wee dada tikisa kario kario kario kario kariakoo

Wasio kuwa na wenye wowowo warushe roho

Haya sasa nitikisie maboga

Nitikisie mamboga mboga

Nitikisie maboga

Nitikisie mamboga mboga

Hamisi chacha kaona paja kadata

Sa shobo za nini wakati nimekuacha

Hamisi chacha kaona paja kadata

Sa shobo za nini wakati nimekuacha

Staki mishobo na wewe mi mwenzako stakiii

Mishobo na wewe mimi akuu staki

Mishobo na wewe

D Voice-এর Mtamu - লিরিক্স এবং কভার