menu-iconlogo
logo

Mungu Baba

logo
লিরিক্স
Wanangu leo nina stress kibao

Yaani akili yangu haiko sawa

Wanangu kichwa kina vitu kibao

Yaani naelekea kupagawa

Baba mwenye nyumba

Hela ya kodi nishaleweya

Hataki maelezo yaani amenitimua

Mubebe mchumbaa wangu wameniibia

Kisa sina helaa yaani amenikimbia

Basi mungu baba nikopeshe milioni kumi

Nikifa ntakuja nayo

We sir God nikoposhe milioni tano

Nikifa ntakuja nayo

Aah hizi dharau zinanichosha

Na ndo maana Mungu wangu nakukopa oonahh!

Mwajuma juzi alisema atakuja ghetto (Hakujaa...!

Hakuja mchizi nikala detto (Dharau...!)

Amenifanya kama kichekesho (Hakuja...!)

Kanigandisha stendi fenichaa keko

Basi mungu baba nikopeshe milioni kumi Nikifa ntakuja nayo

We sir God nikoposhe milioni tano

Nikifa ntakuja nayo

Ooooh ooh!

Wekaaaa! Aya twende muone maajabu yake

Anaogopa mende ila anapenda kifo chake

Aya twende muone uyo maajabu yake

Anaogopa mende ila anapenda kifo chake

Aya twende bingili chali chali

Kifo cha mende chalii

Mama bingili chali chali (Ooooh oh!)

Mpaka juu ya dali

Kwanza mi mtoto wa watu sina nuksi mteke mteke

Mi nikikupenda kwanza lazima unenepe

Mi mtoto wa watu sina nuksi mteke mteke

Mi nikikupenda kwanza lazima unenepe

Kama unabisha njooo tu date uonee...!

Njoo tudate uonee...!

Kama unabisha njooo tu date uonee...!

Uonee...!

D Voice-এর Mungu Baba - লিরিক্স এবং কভার