menu-iconlogo
logo

Madanga Ya Mke Wangu

logo
লিরিক্স
Aaah aah aah...

Aaah aah.

We jamani mke wangu anadanga lake

Mwenzenu ananikosha

We kila siku ikifika morning

Lazima atume pesa

Mama watoto anadanga

Na mke mwenzenu anikosha wewe, onaa

We kila siku ikifika morning

Lazima atume pesa, onaa

Lakini danga wa juzi amenikera

Amekuja hajaacha mizigo wala hela

Alafu sidangi dangi na masela

Danga na mapedeshe tupate hela

We ukipata bwana wa kizungu

Nenda naye kwa Mpalange

Mi mumeo nimekuruhusu kadange

Mwaka huu wife lazima tujenge

Wasio tupenda sa waambie wajipange.

Naheshimu madanga ya mke wangu

Maana ndo yanayonipa faida

Naheshimu madanga ya mke wangu

Maana ndio yanayonifanya nashiba

Naheshimu madanga ya mke wangu mimi

Ndo yanayofanya navimba

Eeh madanga ya mke wangu

Maana ndio yanayonifanya naringa

Madanga ya mke wangu yananipa faida

Oyaa oyaa oyaa oyaa oyaa oyaa oyaaaa.

Aaah. aah.

Siku hizi mzinga wa ving'asti ndio umepea

Mjini kila demu anapenda hela

Halafu usiukadanga na maboya

Kesho usije kurudi bila hela

Sa baby ngoja nikuambie

Nenda kadange upate kigari tuwavimbie

Ooh baby ngoja nikuambie

Nenda kadange upate kigari tuwavimbie

Halafu home usirudi mapema

Usicheze na kazi ma mtu utachina

Kwani madanga ndugu hayajatema

Mi nimemiss kula chips na nyama

Kama ukipata bwana wa kizungu

Nenda naye kwa Mpalange

Mi mumeo nimekuruhusu kadange

Mwaka huu wife lazima tujenge

Waso tupenda sa waambie wajipange.

Naheshimu madanga ya mke wangu

Maana ndo yanayonipa faida

Naheshimu madanga ya mke wangu

Maana ndio yanayonifanya nashiba

Naheshimu madanga ya mke wangu mimi

Ndo yanayonipa faida

Eeh madanga ya mke wangu

Maana ndio yanayonifanya nashiba

Aaah. aah.

Noma sana twendee, twendee maa

Kwanza nikuulize hivi unamjua Yesu?

Yubu Khan nikuulize unamjua Yesu we?

Shabalala nikuulize unamjua Yesu we?

Boss Peter nikuulize unamjua Yesu?

So kwa jina la Baba hilo

Na la mwana hilo, na la Roho mtakatifu Amina

So kwa jina la Baba hilo

Na la mwana hilo, na la Roho mtakatifu Amina

Yule dada anayecheza kati mnamjua?

Ndo MashaLove alo kalia chupa akapasua

We yule dada anayecheza kati mnamjua?

Ndo Wanjala alo kalia chupa akapasua

Basi twende msimshike jamani ana shot ua umeme

Na kibaridi kwa mbali muacheni ateteme

Msimshike ajibu ana shot ya umeme

Na kibaridi demla mwacheni ateteme

Kati mwacheni ateteme Ajibu ateteme

Basi mwacheni ateteme Shabalala ateteme

Meja Kunta/D Voice-এর Madanga Ya Mke Wangu - লিরিক্স এবং কভার