menu-iconlogo
logo

Kidimbwi

logo
লিরিক্স
Sema aya wee,

aya wee

Aya wee, aya wee

Aya wee, aya wee

Aya wee, aya wee

Naitwa mr misifa,

nina sifa zangu mimi

Sifa ya kwanza nikipenda sisubiri

Mbili mshamba wa mapenzi boya kweli

Mpaka Kajala anajua

We mama utaniua mama

Na mdogo mdogo utanitoa roho

Nichinje mie

Na unavyocheza utanitoa roho

Bado haijatosha

ongeza mpaka uone sijitambui

Nisahau mama na baba wote siwajui

Jamani Paula utaniua ma,

wewe mama utanitoa roho

Nichinje mie,

na unavyocheza utanitoa roho

Jaman Mie

sio mshamba wa mapenzi kugombania mapenzi siwezi

Ya nini eeh,

Meja Kunta-এর Kidimbwi - লিরিক্স এবং কভার