menu-iconlogo
logo

Demu Wangu

logo
লিরিক্স
We dada ukishapenda penda kweli husije kuniacha dolo

Oya we hunitaki vipi muhuni ndo nishakufollow

Hatuwezi kuachana leo umenshtukiza

Ungenipanga mapema nisingejiuliza

Leo leo mbona tungemaliza

Huo ushamba unaolewa nitakuumiza

Weka tena

Demu wangu nimekupatia shida

Kukutongoza kidogo changu

Hiki najitosheleza kipi ulikosa

We mchumba ulipata cha ajabu leo unaniacha

Eti unasema una bahasha wako

Kudadeki nakupenda ww na huyo bwana ako

Nimesema sikuachi

Nakupenda wewe na huyo bwana wako

Ooh jamni kudadeki nakupenda wewe

Na huyo bwana wako

Nimesema sikuachi

Nakupenda wewe na huyo bwana wako

Oya we (oya we)

Siulinifunza nikipata akiba nichange

Ili ata kachumba nipange

Nilikua sijui ukanifunza michezo ya kwamparange

Ukawatema masponsa vipande

Ukasema yanini nidange

Ukanikataza mamoshi sigara mibange(kuma nisha nini)

Bebe yangu mama mtu (mi sikuachi)

Oya kama noma na iwe noma (nakuachaje sasa)

Mi mwendo wakung'ang'ania kama ruba(mi sikuachi)

Mana muhuni nshagharamia(nakuachaje sasa)

Bebe yangu mama mtu (mi sikuachi)

Afutatu zangu ushakula sana (nakuachaje sasa)

Mi mwendo wa ruba kung'ang'ania(mi sikuachi)

Muhuni nshagharamia (nakuachaje sasa)

Weka tena

Demu wangu nimekupatia shida

Kukutongoza kidogo changu

Hiki najitosheleza kipi ulikosa

We mchumba ulipata cha ajabu leo unaniacha

Eti unasema una bahasha wako

Kudadeki nakupenda ww na huyo bwana wako

Nimesema sikuachi

Nakupenda wewe na huyo bwana wako

We dada ukishapenda penda kweli husije kuniacha dolo

Oya we hunitaki vipi muhuni ndo nishakufollow

Oya we hunitaki vipi muhuni ndo nishakufollow

Meja Kunta/Mabantu-এর Demu Wangu - লিরিক্স এবং কভার