menu-iconlogo
logo

Chura Superstar

logo
লিরিক্স
Oh jamani dada danga usiombe bia

Mi ndo chura Superstar

Malaya wenzako wananijua

Nishadanga kila baa

Oh jamani dada danga usiombe bia

Mi ndo chura Superstar

Malaya wenzako wananijua

Nishadanga kila baa

Jana nimekopa bia

Siku hizi sijaongea mada

Nikakugombania

Na ukipata bwana ng'ang'ania

Jana nimekopa bia

Siku hizi sijaongea mada

Nikakugombani

Na ukipata bwana ng'ang'ania

Oh jamani inakaa mabwana

Nataka kulala naye

Malaya nishadanga mji mzima

Sioni wa kutoka naye

Oh jamani inakaa mabwana

Nataka kulala naye

Malaya nishadanga mji mzima

Sioni wa kutoka naye

Mi nataka nitoke na wewe

Mi siwezi kwenda mwenyewe

Oh jamani mimi na wewe

Mi siwezi kwenda mwenyewe

Basi mama mimi na wewe

Mi siwezi kwenda mwenyewe

Jamani anamshia tilo, mi naogopa

Na naumia mioyo, mi naogopa

Namchat anamshia tilo, mi naogopa

Na naumia mioyo, mi naogopa

Jamani anamshia tilo, mi naogopa

Na naumia mioyo, mi naogopa

Namchat anamshia tilo, mi naogopa

Na naumia mioyo, mi naogopa

Kaka unataka mapenzi gharamia

Usiombe ya bure utaumia

Nishadanga kusini, kaskazini

Unakotaka chukua

Kaka unataka mapenzi gharamia

Usiombe ya bure utaumia

Nishadanga kusini, kaskazini

Unakotaka chukua

Wapi twende popote nakupatia

Kwa Lulege mi hata dumu nakalia

Sina wenge chupa ya soda napasua

Jana nimekopa bia

Siku hizi sijaongea mada

Nikakugombani

Na ukipata bwana ng'ang'ania

Jana nimekopa bia

Siku hizi sijaongea mada

Nikakugombani

Na ukipata bwana ng'ang'ania

Oh jamani inatamaa machura

Nataka kulala naye

Malaya nishadanga mji mzima

Nimekosa kutoka naye

Jamani inakaa machura

Nataka kuondoka naye

Malaya nishadanga mji mzima

Sioni kutoka naye

Mi nataka nitoke na wewe

Mi siwezi kwenda mwenyewe

Oh jamani mimi na wewe

Mi siwezi kwenda mwenyewe

Basi mama mimi na wewe

Mi siwezi kwenda mwenyewe

Jamani anamshia tilo, mi naogopa

Na naumia mioyo,